Issue ni kibur dah!!! any way Asante nitajitahidi tu Mungu anisaidieJack we jinyamazie tu. Kwanini unahangaika wakati ni mambo ya kupita aisee. Si anarudia mtihani tu anaondoka, achana nae. Mwache avae hata chupi tupu akienda sokoni yeye na mjomba wake watayapata majibu yao.
Hangaika na watoto wako maisha ya sasa ndugu yangu. Utajitafutia maugomvi yasiyo na mbele wala nyuma. Umeshafanya part yako, imeshindikana basi potezea
Yeye ndio kawa Kama mwenye nyumba yan Mimi nifate anavyotaka akifanya kitu usiniulize ...ukimwachia hela ya matumiz usimuulize chenji ananuna hajibu nami nashinda kazinUmejaribu kumwelekeza hali halisi ya maisha ya sasa hajakuelewa, huna namna nyingine zaidi ya kumwacha tu atapambana atakapoanza kujitegemea.
NB; Sheria za nyumbani kwako na mumeo zinabaki kama zilivyo, hataki kuzifuata akajitegemee
Muoneshe kiburi zaidi yake kwa kukaa kimya! Usiwe na mpango nae kabisa!Issue ni kibur dah!!! any way Asante nitajitahidi tu Mungu anisaidie
AsanteMuoneshe kiburi zaidi yake kwa kukaa kimya! Usiwe na mpango nae kabisa!
Miaka 26 si atanikunja wanikute maiti😀😀Hujui kuchapa kwa fimbo
Unasubiri wanyamwezi wamchape kwa fimbo ya nyama huko nje
Okay subiri na ulete mrejesho
Anafanya mtihan mwez wa 11 ataenda wapi?Hii ni lawama kama amekushinda ongea na mume wapi apelekwe
Mkaushie vilivyoYeye ndio kawa Kama mwenye nyumba yan Mimi nifate anavyotaka akifanya kitu usiniulize ...ukimwachia hela ya matumiz usimuulize chenji ananuna hajibu nami nashinda kazin
Binamu nyama ya hamu usije ukakuta mmeo alishaonjaNaishi na mume na mtoto wa wifi angu ana 26 miaka kaja kurudia mtihan
Kweli ananinyima usingizi bint hataki umwambie chochote akikosea ukimrekebisha ananuna anisemesh
1) ana group la wanafunzi wenzie wakija kusoma mpaka unaona aibu mavazi waliyovaa yaajabu ..maongez yao niyawanaume tu nikampiga marufuku mbele ya mjomba wake hawa mabint Kama hawana nguo nzuri za kuvaa nisiwaonde ndan kwangu...
alinuna wiki nzima, mama mkwe alipokuja kutusalimia ambae Ni bibi yake kamlea akaanza kuwaleta tena nilivyomkataza alizila kula wiki siku 2 mama mkwe akanichukia
2) anakibur yan usimwambie hata fanya usafi anataka yeye ndie apange kila kitu ndan akikosea usimwambie kitu
Mbaya zaidi mme wangu yaan nimpole kupita maelezo ambae hawez kuongea wala kukemea kitu yan hata kwangu nimtu asieweza kabisa
Bint anaweza rudi ata usiku mjomba wake anaishia kuguna tu
Nimejaribu kumweleza tabia ya mwanae lkn ananyamaza tu
Sijui nifanyeje jmn
Tell me your secrets, I'm not messyNaishi na mume na mtoto wa wifi angu ana 26 miaka kaja kurudia mtihan
Kweli ananinyima usingizi bint hataki umwambie chochote akikosea ukimrekebisha ananuna anisemesh
1) ana group la wanafunzi wenzie wakija kusoma mpaka unaona aibu mavazi waliyovaa yaajabu ..maongez yao niyawanaume tu nikampiga marufuku mbele ya mjomba wake hawa mabint Kama hawana nguo nzuri za kuvaa nisiwaonde ndan kwangu...
alinuna wiki nzima, mama mkwe alipokuja kutusalimia ambae Ni bibi yake kamlea akaanza kuwaleta tena nilivyomkataza alizila kula wiki siku 2 mama mkwe akanichukia
2) anakibur yan usimwambie hata fanya usafi anataka yeye ndie apange kila kitu ndan akikosea usimwambie kitu
Mbaya zaidi mme wangu yaan nimpole kupita maelezo ambae hawez kuongea wala kukemea kitu yan hata kwangu nimtu asieweza kabisa
Bint anaweza rudi ata usiku mjomba wake anaishia kuguna tu
Nimejaribu kumweleza tabia ya mwanae lkn ananyamaza tu
Sijui nifanyeje jmn
Ngoja nijichunguze aisee Kama nikweli nitajirekebisha ila kwa huyu bint mh!!Nitakuwa kinyume kidogo.
Mama wenye nyumba(baadhi) mnatabia fulani ambazo wenyewe ni ngumu kuzijua...na ni vigumu kuwaambieni.
1. Huwa mnashindana na watoto. Utamwambia aoshe vyombo atasahau au atachelewa. Utataka kushindana naye na itakuwa kesi kubwa. mwanaume kesi kama hizi ndiyo tunazigunia
2. Binti atakuwa hana tabia nzuri(hakuna anayezikubali kweli) ila nyie mtaanza shindana naye sio kwa kumwoonya ila kwa kuanza kumkandia na majivuno yale ya kujifanya mam mwenye nyumba-hii sio nzuri ina athari kubwa.
3. Utapendelea wanao kwa vitendo...utapanga kazi mdomo hupendelei wanao ila kwa upangaji wako wa kazi binti anaona kabisa hapa naonewa...na huwa mnafanya kwa siri mwanaume hawezi kugundua.
kama umekubali kuishi na ndugu mtendee mema sina maana wayafanya wewe.
Anafanya mtihan mwez wa 11 ataenda wapi?