Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,883
- 2,565
Nahisi kama utumwa...sijui waliwaza nini.Hata mm nimeshindwa kbsaa kuwaelewa hawa jamaa, tupo huku wao wanakwenda Bongo, baadae wakikosa support wanasema wanamtwara hawana uzaelndo
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa wameamua kuwasaliti ndugu zao?
Ha ha ha ha
Wameshindwa kuwatendea haki wana-Mtwara.Na hatuwashangilii tena ndanda waende wakawaite mashabiki wao wa dar hii inatia kichefuchefu kabisa yani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunawaombea vichapo mwanzo mwisho hadi washuke daraja maana wameshindwa kuonyesha uzalendo kwa wanachama na mashabiki kwa ujumla na pitch yao ya nyumbani waifanye hiyohiyo ya chamazi Pumbavuuuuuuuu!!!!Wameshindwa kuwatendea haki wana-Mtwara.
The Great Gatsby
Ni kweli, lakini wangapi waliopo Dar wana habari na NDANDA?Uongozi wa club uwajibike kwa hili... Mwenyewe nimejiuliza mambo mengi saaana, kwa Ndanda FC waje Dar!... Lakini yule kiongozi wao wakati anahojiwa juzi, alikuwa pale white sand, mbezi Beach kajipumzikia tu.... Sasa nahisi, kuna nguvu ya pesa ya hawa wadhamini wapya wa Boko, labda wakifanyia Dar, ni kitovu kizuri kwa media na wateja wa bidhaa zao kutangazwa....
"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"