Sijui anamuuliza Ndalichako nini wakati chama chake ndio kipo madarakani na hakipo tayari kuajiri kwa ukosefu wa plan na fedha, ratio ya Mwalimu na mwanafunzi ni ndogo, ila kumbuka unayemuuliza hatumii pesa zake mfukoni, anachoangalia kweli upungufu ipo Zaidi masomo ya sayansi, anataka kupunguza gap huko pia maana pesa za kuajiri hakunaningechangia tatizo hyo avanta yako...
mdogo wangu hizo ni fikra huru, wa tz 90% tukifkia hatua ya kukosoana ndan ya vyama vyetu au taasis zetu tutapga hatua.Sijui anamuuliza Ndalichako nini wakati chama chake ndio kipo madarakani na hakipo tayari kuajiri kwa ukosefu wa plan na fedha, ratio ya Mwalimu na mwanafunzi ni ndogo, ila kumbuka unayemuuliza hatumii pesa zake mfukoni, anachoangalia kweli upungufu ipo Zaidi masomo ya sayansi, anataka kupunguza gap huko pia maana pesa za kuajiri hakuna
Wambie wewe mwenye picha ya chama chao labda watakuelewa maana...NDALICHAKO WEWE NI PROFESA BWANA
Hebu kaa tafakari hivi kodi iliyokuwa ikiwasomesha imeenda bure?....
Hebu tafakar mlipo kuwa mnasomesha mlitegemea wakimaliza wakachome mahindi?....
Njoo na takwimu wangapi wapo kazini,masomoni na idadi ya wanafunzi iliyopo na uwiano baina ya mwalimu na wanafunzi ndiyo useme wanatosha...
Au unadanganyika na huo wingi unao uona kwa shule za mijini..
Haya huko wengi na za msingi je nao wamejaa...profesa funguka pesa hakuna watu wajikite na shughuli zingine mazima...
Nahii athari yake kukaa muda mrefu wengi wanasahau na kupoteza haiba ya ualimu na humpelekea baadala ya kumuona mwafunzi wake anamuona demu wake au mmesahau waalimu wa MEMKWA 2005 wale awamu ya kwanza
Mh brazaaTatizo sii ndalichako...tatzo n mr perfect ambae ndo bos wake..akisema wapo weng nae anafata...uprofesa hana sasa hv n slave