Ndalichako ni hardware alone haiboreshi elimu

mandokwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
620
Reaction score
865

Nimemsiliza sana waziri lakini sijaona kitu cha maana cha kuendeleza elimu. Amenishangaza sana alipotoa mfano wa shule ambayo inadaiwa ni zaidi ya shule ni chuo kikuu kwakua miundombinu yake imeboreshwa!!!! Kwamaana waziri anataka kusema hajui nini maana ya shule? shule si majengo tu.
Ubora wa elimu haupimwi kwa majengo. Bado hajatoa muelekeo wetu katika elimu. She is so mechanical nadhani!!!

Poleni sana wabongo

huyu angalau ameongea mambo ya maana sana. kuliko huyo waziri mwenye dhamana ya elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…