Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
kwa nini watu tunafikia kujidharaulisha hivi jamani? Si angetengeneza hata kashati uchwara tu kuliko ndala za kwenda cho/msalani!!! Kama ni ujuha huu zaidi
wewe ndo mkuu wa mamburula wote duniani.
Kukanyagwa?
Unamaanisha?
Kwa nini watu tunafikia kujidharaulisha hivi jamani? Si angetengeneza hata kashati uchwara tu kuliko ndala za kwenda cho/msalani!!! Kama ni ujuha huu zaidi
Swali+swali=__________
W7 umeadimika sana, nini tatizo?
Kukanyagwa?
Ungekuwa Mwanaume ningesema una wivu wa kike!
Kweli kabisa yani ukanyangwe !haina tafsiri nzuri kwenye ulimwengu wa roho
Kweli kabisa yani ukanyangwe !haina tafsiri nzuri kwenye ulimwengu wa roho
Kweli kabisa yani ukanyangwe !haina tafsiri nzuri kwenye ulimwengu wa roho
Embu jifikirie kabla hujaandika comment, mawazo kila mtu anayo, kama wewe unakaa hovyo unashindwa kutoka na mawazo ya kibiashara waache wenzio wabuni mawazo, mbona ndala ni kitu cha kawaida sana, anachojaribu kufanya ni issue Kwenye biashara tunaita mechandise...beckham na umaarufu wake alitengeneza kondomu za kut0mbea sembuse jokate alietengeneza ndala za kike....wivu wa ajabu tu umekujaa kwa mawazo yako na watanzania wanaowaza kama wewe tutaendelea kuwa taifa duni sana, sio kiuchumi tu hata kifikra.
usitumie vivutio vya baishara na real life mkuu! Kuna wengine picha zao ziko kwenye chu.pi tena pale mbele kabisaa nao tuwaitaje?
Katika wenda wazimu ww ndio baba lao. chizi kabisa