Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mbunge wa jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amechukua fomu ya maombi ya kuomba tena ridhaa ya kugombea ubunge kwa kipindi kingine cha miaka mitano kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Fomu hiyo ameichukua leo Juni 30 2025 katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi CCM Ngara Mkoani Kagera.
Ndaisaba anaomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo hilo kwa muhula wa pili
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Fomu hiyo ameichukua leo Juni 30 2025 katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi CCM Ngara Mkoani Kagera.
Ndaisaba anaomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo hilo kwa muhula wa pili