Baadhi za taasisi za technologia, kampuni za serikali na binafsi Wana uhaba wa mafundi nchuno wa kike( engineer wa kike).
nin chanzo la ili tatizo. a)Elimu ya msingi na sekondali. b) Wanafunzi wa kike kuona ugumu kwenye masomo ya science . c) Elimu ya jinsi kuhusu Engineering kwa watoto wa kike wasiwe na Imani ya wazo kuwa ufundi huu ni kwa watoto wa kiume.