Nchimbi: Kujiudhuru ni Moja ya Utawala Bora.

Nchimbi: Kujiudhuru ni Moja ya Utawala Bora.

Joined
Aug 1, 2012
Posts
38
Reaction score
5
Ngd wanajamii,

hivi kwaniini Tanzania viongozi hawana tabia ya kuwajibika? Au ndio kulewa madaraka ya kuteuliwa? Inasikitisha sana kuona waziri huyu kutokuwajibika hasa baada ya mfululizo wa matukio mabaya.

My take
Bila kuwajibika hatuta komesha tabia za uzembe wa viongozi.
 
Chimbi ondoka kaka, jeshi lako la police limekuasi. kubali yaishe.
 
Unategemea nini kutoka mtu aliyeanza kujiita dr. miaka mingi hata kabla ya kupata shahada ya udaktari wa falsafa. Hiyo moral authority ya kuwawajibisha polisi anaitoa wapi?
 
Brazil nauli zimepanda wananch wakaandamana wazir ajiuzulu .akatii ufarance ukate unipanda kwa kama tsh 100.wakafanya revolution.watanzania kila siku wanauwawa .nauli na maisha yanapanda kila siku bila kuwajibishwa kwa wa2. Watanzania 2amike ucngzine kabla rasilimali zetu hazjaisha. Na nch kubaki 2pu.
 
Watu bana wanampunguzia sifa waziri wetu "mtukufu" Dr. Nchimbi bana!!!

Aka "Rais mtarajiwa TZ"
 
Back
Top Bottom