Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,198
I will be short
Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu positive tu . Watu awataki hivyo .
Nchimbi ni mtu smart sana . Sema position yake aipo sawa .
Nchimbi ndo atakuwa raisi nje ya tanzania . Maana mama kajikologa huko nje watu awamtaki hata kumsikia . Protest and haters wapo wengi sana .
Sasa nchimbi sijui ataongea nini . Any way yupo . Ila kuna kila sign this goverment will fail and tanzania economy will crash in 3 -4 years .
Watu awana vision ya future governmence . Ila things are not good on the ground .
Nchi yangu good luck huko mbele.