Nchi zilizoendelea, zitazidi kuendelea


K

kotinkarwak

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Messages
377
Likes
0
Points
0
K

kotinkarwak

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2010
377 0 0
A Bridge Too Far on Vimeo

Wenzetu, mkandarasi akipewa kazi mfano kurekehisha daraja, atahesabiwa siku kadhaa kutimiza hiyo kazi, mfano kwenye hii video inaonyesha daraja likiangushwa usiku kucha, lakini by' asubuhi, barabara inarudishwa kwa umma. Mkandarasi hapo inabidi awe makini kuhakikisha sub-contractors atakaotumia wote wako safi, vifaa vipo na kazi inaanza, mfano, kama akishindwa kutimiza wajibu wake kama ilivyokubalika kwenye mkataba, basi yeye ndiye atakaye jikuta anawalipa waliompa kazi... Hapa hamna mchezo, ni kazi kwenda mbele. Je kazi zetu zinaweza kufuata hii mifano hai ya kuwajibika? Kwetu, anashindwa kutimiza kazi, na bado tunamlipa, tena zaidi ya costs... TUTAFIKA!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,236,785
Members 475,220
Posts 29,268,185