Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,766
- 14,784
List of shameMagu was gone too soon. Tungekuwa kwenye list
Shida ya barabara zetu ni substandard ndiyo maana hatupo kwenye listMagu was gone too soon. Tungekuwa kwenye list
$&##&$#xghtxxMagu was gone too soon. Tungekuwa kwenye list
.
Wenzetu ajali za kukutana uso kwa uso wanazisikia kwetu.
Na VIROBA vingekuwa vinaelea baharini,mtoni na kwenye maziwa vya kutoshaMagu was gone too soon. Tungekuwa kwenye list
Dah ya Tunazidiwa adi na botiswanTukisema ukiwa CCM ni laana kuna watu watakuja juu. Ila sasa bodaboda washaanza kuelewa kuhusu hatma ya maisha yao.
Wenzetu ajali za kukutana uso kwa uso wanazisikia kwetu.
Top 11 African Countries With Quality Road[emoji922]
1: Namibia[emoji1176] (score 5.2) world ranking 23
2: Egypt [emoji1093](Score 5.0)world ranking 28
3: South Africa[emoji1221] (score 5.0) world ranking 29
4: Rwanda[emoji1206] (score 5.0) world ranking 31
5: Ivory Coast[emoji1132] (score 4.7) world ranking 42
6: Mauritius[emoji1164] (score 4.7) world ranking 44
7: Morocco[emoji1173] (score 4.4) world ranking 55
8: Kenya[emoji1139] (score 4.2) world ranking 61
9: Botswana[emoji1052] (score 4.1) world ranking 64
10: Cape Verde[emoji1065] (score 4.1) world ranking
11: Senegal[emoji1211] (score 4.0) world ranking 71
[emoji273]Source: World Economic Forum’s Global Competitiveness Report Index
#Africangoodroads
#africancolumnist
#beautifulafrica
Sio barabara nyingi, ni barabara boraMagu was gone too soon. Tungekuwa kwenye list
Huku si unajua weupe bado wapo na ndio waliojenga hizo barabara, mweusi mweusi tuuu hata roho yake iko hivyo hivyo anataka mpishane kwenye barabara moja muuwaneBotswana,Namibia ,South Africa ni kweli tupu nimeshuhudia kwa macho yangu bongo nyoso hadi huruma.
Kwani alikua anajenga za kiwango cha chini sana?Sio barabara nyingi, ni barabara bora
Wakandalasi wanalipua. Mfumo wa tenda wa tanzaia ni m’bovu… I bu fatilia utaelewaKwani alikua anajenga za kiwango cha chini sana?