Nchi za africa mashariki za kubaliana ushilikiano wa kifedha yaaani kuelekea kuwa na sarafu moja…

B

bmalale

Senior Member
467
0
Tanzania kama mwanachama imekubari swala hili sasa swali ni je katika ya ule ushirikiano
"Collision of willing "na sisi tuliotengwa ninani atafaidika nahili…maaana mimi nashangaa.....ati


Mimi sijui sana maswala ya uchumi na fedha ..but naomba kuuliza …hivi hii kukubari ushilikiano wa kifedha na kupinga visa moja kwa watalii na maswala mengine ya jamaa zetu ...tukidai eti wana harakisha mambo..........ni ipi inamadhara na faida zaidi kwa taifa…kwani hadi sasa nchi kama Kenya na Rwanda ndio bora zaidi kithamani ya fedha kwa dola ya marekani….

Source:East African leaders sign protocol establishing EAC Monetary Union
 

Forum statistics


Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom