Nchi yetu ya Tanganyika ipo wapi?

Nchi yetu ya Tanganyika ipo wapi?

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
KUNA JAMAA KATIKA FACEBOOK KAANDIKA HIVI;
Mzanzibar mmoja aliniuliza kuwa nchi yenu iko wapi , coz nchi yetu ni zanzibar na nchi ya Tanzania ni ya wote. nilibanwa na haja ghafla nikakimbia. JK atoe majibu asituzingue.
 
Wewe huna adabu kabisa.
Kama lingekuwa ni swali la kuulizwa Viongozi basi inabidi mmuulize Nyererer sio JK.

Lakini uzuri hili swali linatakiwa kujibiwa na kinaa Mtikila na waote mnao dai kuwa mnataka Tanganyika yenu maana ni wazi mnajua ilipo kwenda.

Sitegemei kuwa mnadai kitu ambaacho hamjui kiko wapi na huu utakuwa ni wendawazimu.

Wengi wanao dai Tanganyika wana dai jina tuu hakuna kingine maana watu wenye hoja ya msingi ni wazanzibari maana ni kweli hawana mamlaka na nyie mnao dai jina ndio mmekuwa wasemaji wao wa kila kitu wakati nyie' vya kwenu mnasema wenyewe.

...........................................
Wanao dai Tanganyika watuoneshe hiko wapi na wamepungukiwa nini?
 
MBONA UNATOKWA NA POVU?
 
wewe ulizaliwa tanzania au tanganyika??? tanzania ni mpango wa mungu
 
nahitaji tanganyika yangu. full stop.

Badala ya kujadili mambo ya msingi ya kiuchumi tunajadili jina! Pia tunashabikia vilivyotengenezwa na wakoloni kuliko kazi ya mikono yetu wenyewe!
 
Back
Top Bottom