THE RIGHT POLITCIAN
New Member
- May 25, 2015
- 4
- 0
Katika kuchangia amani na utulivu kila mwananchi analo jukumu la kuhakikisha amani na utulivu vinadumu nchini, hii ni pamoja na kujifunza siasa zinazolenga kuzungumizia maadili na sio watu ama uchochezi, mimi ninaamini iwapo mtu atajikita katika kujenga hoja za msingi hoja za kushauri basi atasomeka na kueleweka zaidi na hatakuwa na chuki na mtu yeyete, bas na ifahamike kwamba amsemaye mtu ama mwenzie kwa mabaya naye basi afahamu kuwa atasemwa tu maana hakuna namna nyingine,hii ni sheria na kanuni, na kusemana badala ya kushauriana na kuelekezana kwa utulivu mara zote kunapelekea "shida", ni vyema mtu akawa ni mtatuzi wa matatizo kuliko msababisha matatizo, " By these centuries in fact, its better for a person to become a problem solver other than a problem causative" for in so doing, surely it pay him/her in million of folds, au sio?