Inapendeza. Tulifanye kuwa taifa kubwa ulimwenguni, amani, udugu na upendo ziwe nguzo, zituletee maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kujitambua ktk tamaduni zetu. Kwa pamoja hili linawezekana, hata si kwa kizazi hiki bali vijavyo, bali kuanza tuanze sisi tukiwa na tumaini la kuifikisha hapo. Amen.