Nchi ya Viwanda vs Mgao wa Umeme

Nchi ya Viwanda vs Mgao wa Umeme

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,110
Najiuliza tu kwamba serikali ijayo itaanzisha viwanda kila kona je mgao wa umeme utadhibitiwa vipi? Hapa mwanza kila siku ni mgao wa masaa 12 mpaka 16 khivyo viwanda vitatumia mafuta ya taa?
 
Inasikitisha mno kwa nchi kama Kenya hawana mgao lakin TZ tunaendeleza mgao utafikiri upo kwenye ILANI YA CHAMA.
 
Viwanda vimeuliwa sasa vinaenda kufufuliwa sio? Basi sawa!
 
oooooooooooohhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh ni ile ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ila yule mama anadanganya wazi wazi dah
 
Hapo ssa viwanda vingi bila chanzo cha uhakika cha nishati
 
ni hatari sana kutoa kauli za jumla jumla bila kufikiria gharama/utelekzaji utakuaje
 
sisi naona tujikite kwenye UGANGA WA KIENYEJI na HABARI ZA UDAKU mengine hayo tuwaachie WAKENYA na WANAIJA
 
Hivi kama nchi tumenufaika vipi na ile fursa ya wamarekani ya AGOA
 
Back
Top Bottom