NGOLO Jr
Member
- Sep 14, 2018
- 12
- 7
Tunaposema nchi ya viwanda tunatizama mambo mengi ya kimsingi ambayo ni muhimu kwa jamii na kwa dunia pia.
Huwezi kuwa na sera ya viwanda halafu ukashindwa kusimamia misitu lazima utakuwa mtu wa hovyo.
Tuitizame Shinyanga ilivyo jangwa. Leo Morogoro bila Mbunge, Mkuu wa mkoa, Mkuu wa wilaya, Mwananchi kusimamia utunzaji wa mazingira kwa ujumla itageuka jangwa.
Vyanzo vya maji vimeanza kukauka, uoto wa asili umeshapotea na miti ya asili nayo imepotea.
Tukumbuke bila uwepo wa mpango mkakati wa kulinda, kutunza, kuthamini vyanzo vya maji na misitu hatuwezi kufikia malengo na Sera ya viwanda.