We umeshajipea mara ngapiJipe moyoooo
Mambo ndo kwanza yanaanza, hii vita ni ndani na nje ya uwanja wa mapambanoNenda fild kherson inayoyoma hiyoo
Siyo kwa wakat huuWakati USA inaivamia Iraq UN iliruhusu?
Wakati USA anaichukua Guantanamo bay ya Cuba UN iliruhusu?
Wakati Russia inaichukua Cremia 2014 UN iliruhusu?
Jibu la hayo maswali yote ni "HAPANA"
SASA KIPI KINAKUFANYA UFIKRI HIZO POROJO ZA UN ZITABADILISHA MAAMUZI YA URUSI NA RAIA WALIO AMUA WAO KUJITENGA NA UTAWALA WA KINAZI.
UN ipo kwajili ya kuendesha Nchi masikini na zilizo kaa kinyonge tu, Hao kina USA na Russia wapo kwenye ulimwengu wao wala hawaendeshwi na UN.
Na inakuwaje hawa raia waliopo Jamii forum wanamtetea mrusi , mwakilishi wa nchi yao kule UN ameshindwa kuwakilisha matarajio yao ?Kwahiyo, ni nchi tano pekee ikiwemo Urusi yenyewe ndizo zilizounga mkono ukwapuaji wa maeneo ya Ukraine?!
Na, ukichunguza kwa makini hizo nchi zenyewe hususani viongozi wake unauona mfanano wa tabia kwa kiasi kikubwa.
Kuna kamsemo maarufu sana ka kiingereza huwa kanasema; "show me your friends and I'll tell you who you are."
Mbona hawayakatai maeneo yaliyochukuliwa na Rain bow namba Moja Israel?Ni waz putin wameshamchoka ameshindwa kila sehemu ,china naona kamkacha kiaina.
Nchi wanachama wa U.N wamepiga kura ya kutoyatambua majimbo yaliyochukuliwa kiharamu na dicteta putin. Ni nchi 5 tu ndizo zimeungana na putin. Africa hakuna aliyemuunga.
CNN
=====
Strong majority of countries rebukes Russia at UN
Nahal Toosi and Ryan Heath
Thu, October 13, 2022, 12:40 AM·3 min read
View attachment 2385386
Bebeto Matthews/AP Photo
An overwhelming majority of countries castigated Russia on Wednesday over its claims to have annexed Ukrainian territory, with 143 voting in favor of a critical U.N. resolution after heavy lobbying by the U.S., Britain and the European Union.
Five countries voted against the resolution — Russia, and four other dictatorships: North Korea, Syria, Belarus and Nicaragua.
It was a stronger showing than many Western officials had predicted ahead of the vote. The ballot followed one of Russia’s biggest attacks on Ukraine since its invasion in February, with missile strikes in more than 20 Ukrainian cities, including Kyiv, the capital.
Hao UN ni wangese sana,,,,Hayo maamuzi ni non binding......ukitaka kuitambua utaitambua usipotaka huitambui na hawalazimishi nchi kutambua wala kutotambua hayo maeneo.....ni kama kura za maoni tu.
Mrusi alitaka kura za siri maana anajua mataifa mengi yangepiga kura kuwafurahisha wamagharibi ili nchi zao zisije kupata shida, Un wakachomoa.
View attachment 2385472
Kwahiyo, ni nchi tano pekee ikiwemo Urusi yenyewe ndizo zilizounga mkono ukwapuaji wa maeneo ya Ukraine?!
Na, ukichunguza kwa makini hizo nchi zenyewe hususani viongozi wake unauona mfanano wa tabia kwa kiasi kikubwa.
Kuna kamsemo maarufu sana ka kiingereza huwa kanasema; "show me your friends and I'll tell you who you are."
Nashangaa!Na inakuwaje hawa raia waliopo Jamii forum wanamtetea mrusi , mwakilishi wa nchi yao kule UN ameshindwa kuwakilisha matarajio yao ?