Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 847
Kweli mkuuMAHALI PALIPO NA UMBEA,CHUKI,UNAFIKI NA ROHO MBAYA NI VIGUMU MNO KUPATA MAENDELEO.SIFA ZOTE HIZO TANZANIA TUNAZO
Hahaha sidhani kama ana huo muda yet anadai hapa kazi tukuna mtu mmoja pale magogoni alisema anafuatiliaga sana SHILAWADU, subiri kuitwa mchochezi mkuu
Aya ipi unaizungumzia kwenye thread?
Tumekusoma mkuuAya ipi unaizungumzia kwenye thread?
Unawasema wambea kwa ubaya tuu bila kusema faida zao wewe mbeya?Salaam wana mmu!!
UMBEA ni kitendo cha kuzungumza Habari za mtu kwa mtu mwingine tena zisizokuhusu!!!
Kwa Bahati mbaya habari hizi huwa si njema....mara nyingi umbea huwa ni uzushi au uongo... Huwa mara nyingi zinazungumzia upande mbaya Kuhusu mtu....
Umbea unaweza fanywa na mtu Au vyombo vya Habari....
Lengo kuu la umbea ni kutafuta upendeleo.... Au biashara...
Nchi yeyote yenye umbea maendeleo huwa ni duni....
Nimefanikiwa kutembea nchi mbalimbali duniani nikabaini Tanzania ndio nchi pekee ambayo watu wake wana muda wa kutosha kuwasema Au kuwajadili watu wengine ambao kwa namna moja Au nyingine tunawaita wambea...
Kikubwa zaidi SHIRIKA LA WAMBEA DUNIANI limeasisiswa Tanzania..
My take:mashirika ambayo ni yakimaendeleo yanayoanzishwa Tz huwa yanakufa kwa Haraka Ila hili ni shirika ambalo Haliwezi kufa coz wanaolisapoti ni wengi mno....
Binafsi nakwazwa na hii tabia na kamwe Usitarajie Kuona mbea akifanikiwa.
Tumekupata Mkuu.Tumekusoma mkuu
hahahaSalaam wana mmu!!

hahahaha jamani khaa ni sheedaa!!!!Aya ipi unaizungumzia kwenye thread?