Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,568
- 13,543
Nchi yangu umeliwa muda mrefu na wanasiasa waliotuaminisha ni watetezi Wa wanypnge kumbe wanatumia siasa kama njia ya kuiba.
Zitto Kabwe amekuwa mwenyekiti wa PAC mda mrefu lakini eti hakuona wizi ndani ya mashirika ya umma wala hakumshirikisha swahiba wake JK kushughurika na ufisadi.
Nakubaliana na JPM kwamba yale makontena ya mchanga yalikuwa yanatangulizwa ulaya lakini ni ya watanzania ndio mana hawakusema chochote mpaka JPM alivyolivalia njuga.
Upinzani ulikuwa unalazana kusema ufisadi ili wakatiwe kidogokidogo mana JPM alivyoanza kushughulikia uozo ule waliokuwa wakiusema wamemgeuka kwani ulaji wao umezibwa.
Sasa wapinzani wamebaki ni kutukana tu bila sababu ya msingi.
Ee mungu shukrani kutuletea JPM ametufungua njia kwamba Tanzania inaenda kupaa kiuchumi mana yuko serious sana na hatakizaha na siyo mra rushwa.
Mungu atupe nini tena tumemuomba muda mrefu amesikia kilio chetu sisi walala hoi.
Go Magufuli, Mungu yu pamoja nawe acha wapige kelele watazoea hivyo Bali ya kutokuwa na mimali kibao ya kuenezea ukimwi kwa madada zetu.