Nchi imetulia

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,327
Reaction score
59,039
Mh. Rais ana wakati mzuri katuliza hisia mood za Watanzania ziko vizuri zinachambua mambo Kwa undani. Uelewa umeongezeka na uwekezaji mkubwa ufanyike Kwa mambo ya utalii miundombinu ni sahihi.hela isimamiwe na watu wote kushukuru Mungu. TUPAMBANE LAZIMA TUTAFIKA WAZEE WANGU HATUPOTEI NI SAHIHI.
 
Live mama Samia anaweza kushinda. Mambo yamekuwa jinsi watu wanavyotaka.
 
Uchawa ni kazi ngumu Sana, usiku wote huu kazi kuandika makala za kusifu na kuabudu watawala!!
 
upo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…