Nchi imetulia kila mtu anacheka!

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,269
2,024
Hakika Nchi nzima imefurahi, Imetulia, kila mwananchi ana furaha kutokana na Matokeo ya jana ya Ushindi wa Simba wa Goli 6-0.

Simba ndio mwenye Mpira wao,
wenye uzoefu nao hapa Tanzania, hao wengine ni ubabaishaji tu na kelele nyingi utadhani wapo kwenye mdundiko.
 
Raha ya mpira wa bongo ni huwezi shangilia ushindi wa timu yako bila kubeza upande mwingine.

Upande wangu nimefurahi Tanzania kuwa nchi pekee msimu huu kupeleka timu mbili robo fainali

Mimi sio muumini wa kuwatambishia wanaokula biliani leo kuwa mimi nilikula miaka iliyopita. Kwani naamini njaa ya leo inatakiwa iondolewe leo na sio kwa historia ya kushiba huko nyuma
 
Baada ya mechi ya jana ile ligi ya Chama na Pacome nani mkali imeisha rasmi.

Saizi ni Pacome na Chasambi nani mkali

Pacome kacheza jumla ya dakika 540 hapo bila kuhesabu na za nyongeza

Kafunga bao 3 na assist 2

Chasambi kacheza dakika 7 kafunga goli 1.

Chasambi akipewa dakika 540 anaweza kufanya makubwa zaidi.
 
Baada ya mechi ya jana ile ligi ya Chama na Pacome nani mkali imeisha rasmi.

Saizi ni Pacome na Chasambi nani mkali

Pacome kacheza jumla ya dakika 540 hapo bila kuhesabu na za nyongeza

Kafunga bao 3 na assist 2

Chasambi kacheza dakika 7 kafunga goli 1.

Chasambi akipewa dakika 540 anaweza kufanya makubwa zaidi.
😂😂
Kwa hiyo Pakome sio size yake Chama? Noted
 
😂😂
Kwa hiyo Pakome sio size yake Chama? Noted
Kumfananisha Chama na Pacome ni upumbavu.

Na upumbavu sio tusi bali ni tabia mbaya ambayo hakuna mzazi ana wish kuzaa mwanae mwenye hiyo tabia.

Na hata waliokuwa na bahati mbaya ya kuwa wapumbavu familia zao zinakesha usiku kocha wakiomba hao watu kuondokana na hiyo kitu kwasababu inawapunguzia sehemu ya ukamilifu wa kuitwa mtu timamu.

Hata kwenye vitabu vya dini vinaeleza King Solomon alipopewa ridhaa ya kuchagua chochote atakacho alichagua kupewa maarifa na busara.

Kwa kipindi hicho upumbavu ilikuwa ni tatizo kubwa ambalo linapigwa vita, ilikuwa ni jambo la aibu inayoweza mfanya mtu hadi aweze kujinyonga ikiwa tu atathibitika kuwa ni mpumbavu....tofauti na kizazi cha miaka hii ambacho kimefanya upumbavu kuwa fashion na sehemu ya mradi.

Kusema Pacome ni bora kwasababu amefunga goli 3 na assist 2 kuliko Chama ni sawa na kusema rungu ni silaha bora kuliko Missile Launchers kwasababu rungu lako limekusaidia wewe kuua mende 10 na panya 7 waliokuwa wanalamba unga wako.
 
Back
Top Bottom