Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,252
- 13,511
ccm ni genge... Halihitaji kura za wananchi kufanya maamuzi yake!Kama kila Kiongozi anayetaka kutumia akili zake anafukuzwa au kutolewa kwenye mfumo kimya kimiya tusipoamka sasaivi basi Tumekwisha.
Ata Samia angesimamia 4R kwa ukweli Wangemuondoa. Naamini kuna genge Kusini mwa Africa limefanikiwa kuteka kabisa hizi nchi.
Haya Matajiri yasiyoisha kwenye sebure za ikulu zetu kilasiku.
1. Alianza Mpango akatolewa akaambiwa kaa kimya.
2. Majaliwa kasimu akaambiwa asigombee akae kimya.
3. Simbachawene, Tulia aksoni, Ndugai, Lukuvi, Akina Biteko na wote wamenyamazishwa.
4. Polepole, Magufuli, Lukuvi walitumiwa kujenga mfumo baadae wakatoka kwenye vifo tata kabisa.
Kama wote wenye akili wametulizwa tuli. Rungu wakaachiwa akina. Mwigulu na Makonda nao wanaaminishwa makubwa lkn wakiwamaliza wenzao ndio basi tena na wao wanapitishwa njia ile ile.
Tulia aliifanyia nini CCM na sasa yuko wapi?
Ni wakati wa wanaCCM kuamka usingizini NCHI NI KAMA INATEKWA KIMYA KIMYA HII.
Ni hatari and they have no fearWahuni wana nguvu na ushawishi mkubwa awamu hii kuliko awamu zote zilizopita.
uasi wa kupindua nchi. kwa hapa ilipo imegawanyika sana. kupindua ni rahisi sanaNdio mtego ambao watawala katili wanautaka ili wajipe uhalali wa kupambana na uasi kuendesha nchi ata miaka 100
Ni mtoto wa mmiliki wa koloni la Tanganyika.Leo abduli kakutana na museveni na ujumbe wake kuhusu masuala ya uwekezaji. Hivi abduli ana cheo Gani Serikali hii dhalimu?
Ile uko sehemu unaangalia mpira,,unatoka nje kupokea simu unarudi unakuta njemba limekaa sehemu yakoTulia animaliza muda wake na alipoomba tena akakosa kwa kuzidiwa sifa
Huu usenge.kmamamamaeeNi mtoto wa mmiliki wa koloni la Tanganyika.
mbonaKama kila Kiongozi anayetaka kutumia akili zake anafukuzwa au kutolewa kwenye mfumo kimya kimiya tusipoamka sasaivi basi Tumekwisha.
Ata Samia angesimamia 4R kwa ukweli Wangemuondoa. Naamini kuna genge Kusini mwa Africa limefanikiwa kuteka kabisa hizi nchi.
Haya Matajiri yasiyoisha kwenye sebure za ikulu zetu kilasiku.
1. Alianza Mpango akatolewa akaambiwa kaa kimya.
2. Majaliwa kasimu akaambiwa asigombee akae kimya.
3. Simbachawene, Tulia aksoni, Ndugai, Lukuvi, Akina Biteko na wote wamenyamazishwa.
4. Polepole, Magufuli, Lukuvi walitumiwa kujenga mfumo baadae wakatoka kwenye vifo tata kabisa.
Kama wote wenye akili wametulizwa tuli. Rungu wakaachiwa akina. Mwigulu na Makonda nao wanaaminishwa makubwa lkn wakiwamaliza wenzao ndio basi tena na wao wanapitishwa njia ile ile.
Tulia aliifanyia nini CCM na sasa yuko wapi?
Ni wakati wa wanaCCM kuamka usingizini NCHI NI KAMA INATEKWA KIMYA KIMYA HII.
wanaondolewa ni Wakristo tu..........kuna ajenda ya siri?Unachekesha. Kila anayekohoa anatolewaNinaanza kupata wasiwasi pengine mama ni kiongozi sahihi.
i) Miladi iliyoanzishwa inakamilika
ii) Waliodaiwa kua wanamtandao wanawekwa pembeni
Je mama anakomboa nchi?
Pengine labda wewe ndo unatakiwa kufumbua macho na kuusoma mchezo vizuriUnachekesha. Kila anayekohoa anatolewa