Nchi 5 za Afrika zenye 'watata' na 5 zenye 'wapole' wengi

PRODA LTD

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,005
1,333
NCHI 5 ZA AFRIKA ZENYE "WATATA",NA 5 ZENYE "WAPUMBAVU WENGI.

5 zenye "watata"
1. Misri
2. Tunisia
3. Congo DRC
4. Gambia
5. kenya

5 zenye "wapole" wengi
1. Tanzania
2. Uganda
3. Zimbabwe
4. Swaziland
5. Burundi

Hayo ni maoni yangu tu kwa kuzingatia tafiti mbalimbali hasa ile ya 1/4.
 
Huo utata au upole umedumu au unadumu kwa muda gani? Libya ni moja kati waliokuwa wapole leo vipi?
 
Hivi kuna watu watata kama Sudanese, Somalian, ambao vita kwao haikauiki na role ya Kenya kwenye utata sijaona labda ya ukabila after all hujaweka vigezo vya hizo sifa.
 
Unamjua mzulu wewe? Kama humjui basi hujui maana ya "Utata" yaani hata ufanye nini mzulu akikomalia No ni no tu!! Ila kwenye upopompo umejaribu!! Maana mtanzania yupo radhi akupe mkewe u enjoi naye kwa kuwa tu wewe ni Mgeni!!
 
Lakini kama ni upole wa kumwaga damu na tuwe mataahira kabisa.

Genocide pains and Unexplainable why occurred but the Regret shall always be maximum.
 
huo utafit itakwa umefanywa na twawe-za maana ndio kazi yao kuitakatisha pombe!nchi ya raia wanaokula mabillion ya waathirika wa majanga na mwsho wanaenda kuwapa maneno ya kejeli kam katelelo,ukimwi,mto ngono inakuaje useme ni wapole wakat viongo-zi tayal wamekupa picha ya uhalisia wa watu wake,toka lini mtu mwenye roho ya bundi akawa mpole#2020 naacha pombe
 
NCHI 5 ZA AFRIKA ZENYE "WATATA",NA 5 ZENYE "WAPUMBAVU WENGI.

5 zenye "watata"
1. Misri
2. Tunisia
3. Congo DRC
4. Gambia
5. kenya

5 zenye "wapole" wengi
1. Tanzania
2. Uganda
3. Zimbabwe
4. Swaziland
5. Burundi

Hayo ni maoni yangu tu kwa kuzingatia tafiti mbalimbali hasa ile ya 1/4.
Toa Gambia kwenye orodha ya watata hapo. Hawana issue wale, Adama Barrow asingeomba msaada ECOWAS
 
NCHI 5 ZA AFRIKA ZENYE "WATATA",NA 5 ZENYE "WAPUMBAVU WENGI.

5 zenye "watata"
1. Misri
2. Tunisia
3. Congo DRC
4. Gambia
5. kenya

5 zenye "wapole" wengi
1. Tanzania
2. Uganda
3. Zimbabwe
4. Swaziland
5. Burundi

Hayo ni maoni yangu tu kwa kuzingatia tafiti mbalimbali hasa ile ya 1/4.
Gambia uongo basi weka na visiwa vya komoro
 
Lakini kama ni upole wa kumwaga damu na tuwe mataahira kabisa.

Genocide pains and Unexplainable why occurred but the Regret shall always be maximum.
Woga wako ndo mtaji wa umaskini wenu TZania...endeleen hivo hivo mpaka kihama
 
NCHI 5 ZA AFRIKA ZENYE "WATATA",NA 5 ZENYE "WAPUMBAVU WENGI.

5 zenye "watata"
1. Misri
2. Tunisia
3. Congo DRC
4. Gambia
5. kenya

5 zenye "wapole" wengi
1. Tanzania
2. Uganda
3. Zimbabwe
4. Swaziland
5. Burundi

Hayo ni maoni yangu tu kwa kuzingatia tafiti mbalimbali hasa ile ya 1/4.
Huo pia ni mtazamo wa kipumbavu
 
Back
Top Bottom