Jaji matundu
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 251
- 92
Nnchi 25 ambazo zimekua zikipinga vitendo vya kivamizi vya nato zimrmepanga kujiundia umoja wake wa kujilinda kufuatia vamizi mbali mbali za nato ktk nchi mbalimbali mfano Iraq,Libya,Syria etc Nchi hizo 25 zimeilaumu nato kuwa ndio chanzo cha wakimbizi,ukosefu wa ajira na umaskini katika mataifa yanayo vamiwa hata hivyo nchi hizo 25 hazijaweka wazi ni lini zitaanzisha umoja huo pinzani