Nchi 10 zinazoongoza uzalishaji wa maembe duniani

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,308
Reaction score
4,207
Embe ni tunda la pili kwa umaarufu baada ya ndizi.

Chimbuko la embe inasemekana ni south east Asia na India miaka 5000 iliyopita pembezoni mwa milima ya Himalaya India na Myanmar.

Hizi ni Chini 10 duniani zinazoongoza katika uzalishaji wa maembe.

1. India
2. China
3. Thailand
4. Indonesia
5. Mexico
6. Pakistan
7. Brazil
8. Egypt
9. Bangladesh
10. Nigeria na Malawi

Mdau wa matunda JF/JA
 
Awamu hii imamm wenu mkuu anafanya nini
 
Embe ni tunda la pili kwa umaarufu baada ya ndizi.

Chimbuko la embe inasemekana ni south east Asia na India miaka 5000 iliyopita pembezoni mwa milima ya Himalaya India na Myanmar.

Hizi ni Chini 10 duniani zinazoongoza katika uzalishaji wa maembe.

1. India
2. China
3. Thailand
4. Indonesia
5. Mexico
6. Pakistan
7. Brazil
8. Egypt
9. Bangladesh
10. Nigeria na Malawi

Mdau wa matunda JF/JA
China ipo kwenye top ten ya almost kila kitu. Mpaka uzalishaji wa sato (ambao asili yao ni Africa)
 
Back
Top Bottom