Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
[/CENTER]Akijibu swali la Mh Mchungaji Peter msigwa mbunge wa Iringa mjini amesema kwamba serikali haiwezi kjwapendelea CCM (Chama cha mapinduzi) na kuwazuia chadema ila tu tunataka sheria na utaratibu ufatwe.
Sheria zote zipo na kila chama kinatakiwa kujua hilo na sio kujiamulia tu kufanya kila chama kinatakiwa kuomba kibali cha kufanya mikutano ya hadhara na sio vinginevyo
Peter Msigwa aliuliza swali kwa waziri Mwigulu Nchemba kuhusu mikutano ya kisiasa na kwamba kila nchi inaongozwa na kiongozi mmoja ambaye anatunga sheria na ni lazma sheria zifuatwe na sio vnginevyo
Nini maoni yako?