beth JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 3,881 Reaction score 6,378 Jun 10, 2017 #1 Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema Mfumuko wa Bei kwa mwezi Mei, 2017 umepungua hadi 6.1% ikilinganishwa na 6.4% ilivyokuwa Aprili, 2017. http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/cpi/CPI_Mei_2017_Kisw.pdf http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/na/Kitabu_Cha_Hali_Ya_Uchumi_wa_Taifa_katika_mwaka2016.pdf
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema Mfumuko wa Bei kwa mwezi Mei, 2017 umepungua hadi 6.1% ikilinganishwa na 6.4% ilivyokuwa Aprili, 2017. http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/cpi/CPI_Mei_2017_Kisw.pdf http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/na/Kitabu_Cha_Hali_Ya_Uchumi_wa_Taifa_katika_mwaka2016.pdf
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,657 Jun 10, 2017 #2 6.4 mpaka 6.1 hiyo ni sana?? aiseee
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,580 Reaction score 29,716 Jun 10, 2017 #3 MKUU UNA MUDA GANI HUJATUMWA DUKANI!!!!
Kumbila medi Member Joined May 31, 2017 Posts 99 Reaction score 69 Jun 10, 2017 #4 Mimi nadhani ni kwa7babu watu wa kolomije wamebana mzunguko wa pesa ndio maana bidhaa zinashuka bei pesa hakuna!!
Mimi nadhani ni kwa7babu watu wa kolomije wamebana mzunguko wa pesa ndio maana bidhaa zinashuka bei pesa hakuna!!
Granta JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 5,082 Reaction score 6,425 Jun 10, 2017 #5 Joseverest said: 6.4 mpaka 6.1 hiyo ni sana?? aiseee Click to expand... Umenishinda
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,680 Reaction score 6,382 Jun 10, 2017 #6 Haya sawa
Dr tupa JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 236 Reaction score 171 Jun 10, 2017 #7 Watu was takwimu akili zao haziko Sawa...sukari kutoka sh 2400 mpaka sh 3000 nako mfumko umeshuka?