Hiyo NBS washukuru tu ni awamu ya mama,wameacha watu wapewe mwanya wa kuweka vimada vyao,mashemeji,kaka,dada n.k nakuwanyima wengine wasiokua na koneksheni.Upumbavu kabisa,ndomaana hata mtu akiniambia UZALENDO,namtukana kimoyomoyo,upumbavu kabisa huu.