Miaka ya 1990 hadi 95, tawi moja la Foreign Branch chini ya iliyokuwa NBC Waliweza kutengeneza faida ya 30 bilioni kwa robo moja ya mwaka. Baadhi ya watanzania wakajisahau wakaanza wizi na ajira zisizo na mpango. Serikali nayo ikabata sababu, ikaamua kuuza NBC Ili, ifanye kazi kwa ufanisi na kuongeza faida. Leo hakuna faida. Ni hadi makaburu na wamiliki wapya wa NBC Watakapoamsha ari ya WAFANYAKAZI. Hakutakuwa na faida. Kuna ubaguzi mkubwa NBC, Undugu, uliberali, ukabila na kudharau wafanyakazi wakongwe na kukumbatia VIJANA Wapya wasioijua NBC Kufanya wanavyotaka. Taasisi yoyote inayodharau wafanyakazi wake na kuwaacha ndani INAPANGA Kufilisika.Kuna mengi ya kujifunza NBC Dr. Mgimwa Take care