Subiri matusi ya kuitwa kolo au mbumbumbu maana wakandwaji wamechanganyikiwa vibaya mno.Simba na yanga zote zimecheza match 26 hivyo zimebaki match 4
Niko zaidi upande wa yanga ambayo imebakiza michezo miwili Mbeya kati
1. Prison
2. Mbeya city
Pia Ina michezo
3. Dodoma Jiji
4. Singida big stars.
Simba Ina point 63 na yanga point 68
Kwa mujibu wa Alex Lwambano anaihakikishia kuwa yanga itakuwa bingwa.
Sasa Mbeya City na prison ziko chini zinapigania kutoshuka daraja. Point Iko hapo!
Mbeya city haiwezi kukubali ifungwe na yanga alafu yenyewe ishuke daraja. Vile vile Kwa prisons haiwezi fanya hivyo.
Kutokana na hali hiyo na msimamo na aina ya team ambazo yanga itakutana nazo Kuna uwezekano mkubwa yanga ikaukosa ubingwa.
Wakazi wa mkoa wa Mbeya ni tofauti na wale wa Mwanza. Mwanza wanauwezo wa kuipigania yanga ichukue ubingwa ila team Yao ya toto au pamba ishuke daraja lakini sio kwa Mbeya.
Kwa hali ilivyo yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba sc
na huko mbeya sugu yupo ktk harakati zake katoa ahadi kila goli ni 1m dah ndo uyam wa ligiSubiri matusi ya kuitwa kolo au mbumbumbu maana wakandwaji wamechanganyikiwa vibaya mno.
Kwamba Simba atashinda mechi zote sio? Haya tufanye Simba itashinda mechi zake zote, ila tambua kuwa Yanga mpaka anaenda Mbeya atakuwa tayari ana point 6 atakazopata dhidi ya Singida na Dodoma. Hivyo kule mbeya atakuwa anahitaji alama mbili tu kutangaza ubingwa.Simba na yanga zote zimecheza match 26 hivyo zimebaki match 4
Niko zaidi upande wa yanga ambayo imebakiza michezo miwili Mbeya kati
1. Prison
2. Mbeya city
Pia Ina michezo
3. Dodoma Jiji
4. Singida big stars.
Simba Ina point 63 na yanga point 68
Kwa mujibu wa Alex Lwambano anaihakikishia kuwa yanga itakuwa bingwa.
Sasa Mbeya City na prison ziko chini zinapigania kutoshuka daraja. Point Iko hapo!
Mbeya city haiwezi kukubali ifungwe na yanga alafu yenyewe ishuke daraja. Vile vile Kwa prisons haiwezi fanya hivyo.
Kutokana na hali hiyo na msimamo na aina ya team ambazo yanga itakutana nazo Kuna uwezekano mkubwa yanga ikaukosa ubingwa.
Wakazi wa mkoa wa Mbeya ni tofauti na wale wa Mwanza. Mwanza wanauwezo wa kuipigania yanga ichukue ubingwa ila team Yao ya toto au pamba ishuke daraja lakini sio kwa Mbeya.
Kwa hali ilivyo yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba sc
huyu ana hoja , mtakuja kumkumbuka.Simba na yanga zote zimecheza match 26 hivyo zimebaki match 4
Niko zaidi upande wa yanga ambayo imebakiza michezo miwili Mbeya kati
1. Prison
2. Mbeya city
Pia Ina michezo
3. Dodoma Jiji
4. Singida big stars.
Simba Ina point 63 na yanga point 68
Kwa mujibu wa Alex Lwambano anaihakikishia kuwa yanga itakuwa bingwa.
Sasa Mbeya City na prison ziko chini zinapigania kutoshuka daraja. Point Iko hapo!
Mbeya city haiwezi kukubali ifungwe na yanga alafu yenyewe ishuke daraja. Vile vile Kwa prisons haiwezi fanya hivyo.
Kutokana na hali hiyo na msimamo na aina ya team ambazo yanga itakutana nazo Kuna uwezekano mkubwa yanga ikaukosa ubingwa.
Wakazi wa mkoa wa Mbeya ni tofauti na wale wa Mwanza. Mwanza wanauwezo wa kuipigania yanga ichukue ubingwa ila team Yao ya toto au pamba ishuke daraja lakini sio kwa Mbeya.
Kwa hali ilivyo yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba sc
mbona Simba hujaitafutaSimba na yanga zote zimecheza match 26 hivyo zimebaki match 4
Niko zaidi upande wa yanga ambayo imebakiza michezo miwili Mbeya kati
1. Prison
2. Mbeya city
Pia Ina michezo
3. Dodoma Jiji
4. Singida big stars.
Simba Ina point 63 na yanga point 68
Kwa mujibu wa Alex Lwambano anaihakikishia kuwa yanga itakuwa bingwa.
Sasa Mbeya City na prison ziko chini zinapigania kutoshuka daraja. Point Iko hapo!
Mbeya city haiwezi kukubali ifungwe na yanga alafu yenyewe ishuke daraja. Vile vile Kwa prisons haiwezi fanya hivyo.
Kutokana na hali hiyo na msimamo na aina ya team ambazo yanga itakutana nazo Kuna uwezekano mkubwa yanga ikaukosa ubingwa.
Wakazi wa mkoa wa Mbeya ni tofauti na wale wa Mwanza. Mwanza wanauwezo wa kuipigania yanga ichukue ubingwa ila team Yao ya toto au pamba ishuke daraja lakini sio kwa Mbeya.
Kwa hali ilivyo yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba sc
Nina uhakika yanga Wana alama tatu dhidi ya singida.Kwamba Simba atashinda mechi zote sio? Haya tufanye Simba itashinda mechi zake zote, ila tambua kuwa Yanga mpaka anaenda Mbeya atakuwa tayari ana point 6 atakazopata dhidi ya Singida na Dodoma. Hivyo kule mbeya atakuwa anahitaji alama mbili tu kutangaza ubingwa.
mkoa mzima unaingia kucheza uwanjani!?Mkoa mzima umeungana team zisishuke daraja.
Kuna alarm mbaya kwa yanga nadhani Bado league ni ngumu kwao
Mechi zimekaa vizuri ikiwa yanga hatoshinda zakeSimba michezo yake yote imekaa vizuri
1. Away ni Namungo tu
Lakini
2. Police
3. Ruvu
4. Coast
Zote ni DSM
Angalia hapo
Timu ziko chini ya msimamo sababu hazina uwezoTunazungumzia mshikamano wa Nyanda za juu kusini pia na msimamo wa team zenyewe
Nina uhakika yanga Wana alama tatu dhidi ya singida.
Lakini Dodoma kuna hatihati.
Sasa ukiangalia na msimamo pia na kule nyanda za juu kusini na mvua hizi.
Lolote linaweza kutokea
Wewe ndiye hujaelewa,anayecheza ni hizo timu ambazo hazina uwezo, haijalishi sapotiHujaelewa