Kama kweli suala lako ni hilo, mbona ni rahisi sana kuingia tawi lo lote la NBC na kupata first hand information kuliko hapa jukwaani ambapo utapata second hand information?