maege
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 309
- 73
wadau naomba mwenye taazifa juu ya hili anijuze!!! Kuna uvumi kuwa huwenda huu ndo ukawa mwezi wa mwisho wa mkataba wa waajiriwa wa muda wa nbc waliokuwa chini ya Erolink coz benk imemaliza restructuring iliyokuwa inaifanya baada ya kununuliwa na Bacrays kutoka ABSA, nina dogo langu lipo mwaka wa pili sasa anarenew mkataba kila baada ya miezi mitatu..... Bado hajaambiwa rasmi ila anafuraha kuwa anaachana na wanyanyasaji Erolink tho matumaini ya ajira NBC ni madogo!!!! Mwenye taazifa juu ya hili anijuze!!!! Thax.