Niko hapa NBC corporate kudeposit fedha kuna foleni kubwa na kuna caunter zaidi ya 7 lakini teller ni mmoja tu,tumejaribu kuulizia tatizo ni nini wanasema wengine wanaumwa,huu ni uzembe wa hali ya juu tumepanga foleni hapa zaidi ya masaa mawili kwa mtindo huu sisi watz tutabaki kuwa masikini wa wakuomba misaada tu kama mpaka usimamizi tu tunashindwa.
aiseee mbona wanaturingishia na visuti vyao humu mjininbc ndio benki inayolipa mishahara kidogo sana (kwa wafanyakazi wanaoonana na mteja moja kwa moja, ie makeshia, watoa huduma za maulizo na wapokea wageni). Watu hawa hawathaminiwi kabisa na daraja lao ni BB, walikuwa wakiitwa Bank Clerks, sasa wanaitwa Bank Officers.
Mishahara yao ni duni mno, licha ya kuwa wafanyakazi wa benki hiyohiyo mishahara yao ni mikubwa mno.
Morali yao ya kufanya kazi ni ndogo, muda mwingi ni wagonjwa wa stress na dipression.
Wao ndo wako busy na bahasha zao mkononi kusambaza cv's, je huo muda ambao mteja anataka huduma nzuri atapata wapi???
Hawa wafanyakazi wa chini baada ya kupeleka kero zao kwa Mafuru, mafuru aliwaambia kama hawaridhiki na mishahara walambe lapa, kwa hasira watu hawa wakamtengenezea zengwe Mafuru hadi akasima,ishwa kazi.
Leo bank hall hamna staff , kuna kimgomo cha chinichini, Mafuru ajue hilo
Wanatengeneza overtime hao. Haiwezekani waumwe wote kwa pa1 au watakuwa wanableed
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
nbc ndio benki inayolipa mishahara kidogo sana (kwa wafanyakazi wanaoonana na mteja moja kwa moja, ie makeshia, watoa huduma za maulizo na wapokea wageni). Watu hawa hawathaminiwi kabisa na daraja lao ni BB, walikuwa wakiitwa Bank Clerks, sasa wanaitwa Bank Officers.
Mishahara yao ni duni mno, licha ya kuwa wafanyakazi wa benki hiyohiyo mishahara yao ni mikubwa mno.
Morali yao ya kufanya kazi ni ndogo, muda mwingi ni wagonjwa wa stress na dipression.
Wao ndo wako busy na bahasha zao mkononi kusambaza cv's, je huo muda ambao mteja anataka huduma nzuri atapata wapi???
Hawa wafanyakazi wa chini baada ya kupeleka kero zao kwa Mafuru, mafuru aliwaambia kama hawaridhiki na mishahara walambe lapa, kwa hasira watu hawa wakamtengenezea zengwe Mafuru hadi akasima,ishwa kazi.
Leo bank hall hamna staff , kuna kimgomo cha chinichini, Mafuru ajue hilo
Wanatengeneza overtime hao. Haiwezekani waumwe wote kwa pa1 au watakuwa wanableed
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
unapigia debe FBMB!! au wewe ni teller au secretary wa CEO??kuna bank special zinadeal na corporate tu! mfano FBME BANK LTD! wanafungua tawi na head offices zao zitahamia kinondoni hapo karibu na ubalozi wa india! ila kwa sasa nendeni hamieni tawi lao kubwa la samora, pembeni ya azania bank, mimi bozi wangu amefungua hapo! we dont regreat! tena tukitaka huduma ya haraka wanafanya cash collection na wanakufuata ulipo! ni expert wa CORPORATE! jaribu uone, nways pole sana!
Umeandikaje thread hii ukiwa kwenye foleni? Au ulienda juzi ndo unaleta uzi leo
kuna jf mobile,sio lazima uonyeshe ujinga wako humu!!
Mafuru ana taarifa na huo uzembe?
hapana mkuu! ni mteja wao mzuri muda mrefu sana, na sijawahi lalamika wala kujuta! sipendi kwa banker, it wasn't my dream. hope nimekujibu!unapigia debe FBMB!! au wewe ni teller au secretary wa CEO??
hapana mkuu! ni mteja wao mzuri muda mrefu sana, na sijawahi lalamika wala kujuta! sipendi kwa banker, it wasn't my dream. hope nimekujibu!
kuna bank special zinadeal na corporate tu! mfano FBME BANK LTD! wanafungua tawi na head offices zao zitahamia kinondoni hapo karibu na ubalozi wa india! ila kwa sasa nendeni hamieni tawi lao kubwa la samora, pembeni ya azania bank, mimi boss wangu amefungua hapo! we dont regreat! tena tukitaka huduma ya haraka wanafanya cash collection na wanakufuata ulipo! ni expert wa CORPORATE! jaribu uone, nways pole sana!