Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
hapana , nipo hapa jirani na cooporate branch , ni tatizo la button za alarm. zimeminywa bahati mbaya, ila hakuna moto na staff wote wamerudi juu kuendelea na kazi.
Walau hawa wanahata alarm! waache kuwa wanavuta sigara ofisini!
ndio zimeamsha alarm au??
Naambiwa kuna mdada alikuwa anavuta bange! si mfanyakazi ni mteja
Duh! Afadhali, Its false fire alarmMbona mimi naliona hapa nilipo lakini sioni taharuki zozote? wala moshi siuoni.
ndo alarm zikaanza kupiga mayowe sio.....
Bange la Kyela unacheza wewe!
Masanilo heshima kwako.....bado nacheka, asante kwa kunipa kali ya kumalizia jioni yangu...Naambiwa kuna mdada alikuwa anavuta bange! si mfanyakazi ni mteja
Haya bwana piga simu kwa Suleimani Kova atakuhabarisha!mmh wewe samtaim sikuaminigi wewe.......bangi na alarm wapi tena........
Haya bwana piga simu kwa Suleimani Kova atakuhabarisha!
NBC kuna wafanyakazi WAZEE sana kuna 1 wao mfupii kaangukia button ya alarm ya fire ndio kasababisha tatizo. Reporter wetu mkono manyoya ya paka anatuhabarisha hapa. Stay tunned tayari amepelekwa maeneo ya salender bridge ili yule kaka ombaomba ambusu shavuni.
Duu huyo huyo Mkono anasema alianguka sababu ya bange la Kyela!
nakubali yaishe Masa....
najua kwa hili sikuwezi