NBC Corporate Lawaka Moto.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,052
Jengo la NBC Corporate House lililopo kwenye mtaa wa Maktaba na Sokoine Drive linaungua.
Wafanyakazi wote wametoka nje.
Mwenye news zaidi atudondoshee.
 
Mbona mimi naliona hapa nilipo lakini sioni taharuki zozote? wala moshi siuoni.
 
hapana , nipo hapa jirani na cooporate branch , ni tatizo la button za alarm. zimeminywa bahati mbaya, ila hakuna moto na staff wote wamerudi juu kuendelea na kazi.
 
Walau hawa wanahata alarm! waache kuwa wanavuta sigara ofisini!
 
NBC kuna wafanyakazi WAZEE sana kuna 1 wao mfupii kaangukia button ya alarm ya fire ndio kasababisha tatizo. Reporter wetu mkono manyoya ya paka anatuhabarisha hapa. Stay tunned tayari amepelekwa maeneo ya salender bridge ili yule kaka ombaomba ambusu shavuni.
 
Duu huyo huyo Mkono anaendelea kuhabarisha kuwa Boss huyo Mfupi alianguka sababu ya bange la Kyela!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom