NBC Bank Si Salama.

Sasa hivi utasikia ipo chini ya uangalizi wa benki kuu,kama ilivyokuwa kwa Green land Bank na Meridian Biao Bank!Tanzania bana inavituko vingi sana!
 
Ingawa mleta mada hajatoa detail yoyote lakini kuna ukweli juu ya jambo hili. Nina jamaa zangu kama watatu ni waathirika wa wizi kupitia benki hii. Sasa hivi ni zaidi ya wiki tatu bado wanafuatilia kurudishiwa fedha zao na wahajazipata bado. Mmoja ameibiwa zaidi ya 20m.
 
sio n.b.c tu coz kuna madai ya aina hiyo hata kea baadhi ya bank.....wakati mwingine nu makosa ya kawaida tu,bati tumeshindwa kukuelewa na kuku amini kwa sababu hajutupa mambo yaliyotokea kiasi cha kukufanya ughafirike kiasi hiko
 
Kuna ndugu yangu juzi kapigwa salio la m.5 na ikaonyeshwa zimetolewa ATM.
 
Mala nyingi haya mambo huwa yanafanywa na watu wa IT wanaohusika na mambo ya data, wana uwezo wa kuamisha pesa za watu kwakuwa wao ni ma administrator wa systems nyingi ndani ya bank na pengine management haijui.
 
Credibility ya aliyeleta hii mada ni questionable, huwezi toa accusation kali kama hizi bila vivid evidence bwana, be specif, what happened? Umefikia wapi conclusion hii? Acha ubabaishaji

MSent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Yake ni questionable, vipi kuhusu watu wengine waliotoa ushuhuda juu ya kuibiwa fedha zao au za jamaa zao?
Credibility ya aliyeleta hii mada ni questionable, huwezi toa accusation kali kama hizi bila vivid evidence bwana, be specif, what happened? Umefikia wapi conclusion hii? Acha ubabaishaji

MSent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
I urge appropriate entinties get involved and thoughly investigate the matter i believe said argument is valid
 
chichiem chichiem chichiem chichiem chichiem chichiem
 
Kuna mchezo wa kupunguza buku mbili mbili kila akaunti,alafu hela badala ya kufanya kitu cha maana wanaleta tunywe.
 
Kuna mchezo wa kupunguza buku mbili mbili kila akaunti,alafu hela badala ya kufanya kitu cha maana wanaleta tunywe.

Halafu na wewe unakubali kuzinywa?

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
 
Ungetaja madhara ungefanikiwa, lakini hata NMB bank kuna mambo yanakera mno mf. unaweza kwenda ATM kudroo pesa transaction haitakamilika lakin kwenye NMB mobile unaletewa msg kwamba umedroo pesa msg zitaingia mfululizo kama 3 na zote hizo zinagharama zake, huu ni wizi. Ukifuatilia utaambiwa subiri tuchek mda unapotea saaana kwa wateja.
 

Lawrence Mafuru ...ameondoka,walitaka kumuharibia CV....,amepata kazi Nzuri Zaidi
 

Mkuu TajiriJasiri,

Je wewe umeathirika na tatizo hilo au umesikia kutoka kwa nani?

Kama ni kweli basi hii ni very serious allegation! na inabidi watu wa NBC wa "compliance" (kama sijakosea) wapitie hii.

Wezi wa fedha za benki kwa kutumia mitandao ya internet wanaongezeka kila kukicha na kuna baadhi ya mabenki yanagharamia utoaji wa mafunzo juu ya mfumo wa usalama kwenye mtandao.
 
Bado mnaweka hela benki??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…