Naomba msaada jamani maana niko mbali na jiji? Hii syllabus mpya nimeona imepunguza masomo which is good, 1) je kuna masomo mapya? 2) Naomba mwenye ufahamu anisaidie kama mtu ukikaa miaka mingi bila kulipa annual membership kuna impact yoyote ukitaka kuendelea na mitihani? 3) Na je hizi level za CPA je kuna masomo yanaendana na ACCA yaani mtu anaweza kutumia ACCA past papers kujiandaa. Naomba mnisaidie tu hayo maswali maana naona syllabus imeshabadilishwa mara mbili wala sijui niko wapi sasa.
Natanguliza shukrani zangu.