Nadahani kila mtu mpaka sasa anajua ya kwamba hawa nbaa hawajatoa matokeo, sasa cha ajabu leo wameweka tangazo eti tuwe na subira ya kusubiria matokeo na mbaya zaidi mitihani ijayo ipo kama kawaida may😡😡, huu ni unyanyasaji kwa watahiniwa ambao wataendelea na hawajui masomo yspi watayarudia kwa sababu muda wa kujiandaa utakua ni mchache kuzidi ile miezi minne ya maandalizi tuliyozoea hpo awali.
OMBI: WATAHINIWA INABIDI WAJIANDAE KWA MIEZI MINNE HIVYO TUNAWAOMBA MITIHANI IFANYIKE MIEZI MINNE BAADA YA MATOKEO KUTOKA, UZEMBE AMA KITU CHOCHOTE KINACHOFANYA MATOKEO YACHELEWE KUTOKA NI JUU YENU NA HAINA HAJA YA KUWAKANDAMIZA WATAHINIWA WAJIANDAE KWA MUDA MCHACHE.