NBA Basketball fans, Final Four weekend upo timu gan?

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,329
habari wadau wa kikapu..

baada ya drama nyingi za march madness playoffs...

college basketball season ndio inafikia mwisho this weekend...


div 1 basketball final four ni mojawapo ya tukio kubwa sana la michezo usa na hata dunia nzima kwa wafatiliaji wa kikapu...

semi final 1- Villanova university vs university of oklahoma

semi final 2- syracuse university vs university of north calorina..


binafsi nimeipenda sana style ya oklahoma under buddy hield leadership.. na naungana na fans wote wa oklahoma kuwashabikia msimu huu..

nimebet oklahoma anapita nusu fainal na ubingwa anaupata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom