Kwa wale wapenzi na mashabiki wa BB (NBA) ni ule wakati mwingine wa Playoffs. Mwaka huu playoffs ni patashika nguo kuchanika. Ukiondoa mechi ya GSW na Minnesota ambayo ni rahisi kutabiri mshindi zilizobaki zote kuna uwezekano mkubwa wa mwenye home court advantage kuwa upset.