Usimpe ushindi Lakers please usiwachukulie poa Blazers, game za preseason hua hawako serious. Back court ya Blazers is one of the best and efficient in the league plus the chemistry of Nurkic and Staukas Portland can break Lebron no matter what. Pia Lakers bado hawajapata team chemistry ambayo ndio kiungo muhimu katika ushindi kwenye Basketball.