NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Watakuwa wamebugi wenyew kwani baada ya kuchukua game zote mbili kwao huku walitakiwa wachukuwe walau game moja ili game 5 tuwabetie.

Usisahau kwamba wanacheza na LeBron, tena kwake.

Kwanza mpaka hapa wame-overachieve kufika Finals za Conference, na kumtangulia 2 - 0 LeBron ilikuwa kitu cha kujivunia.

Inatosha kwa walipofika, 4 - 2 is fair to them. They are not going to win another game.
 
Game 5 ya TD Garden naona ndio itaamua matokeo hayo.

Celtics wakikubali tuu kupigwa kwao they are off.
 
Kusema ukweli..huu mchezo siuelewi na nina tamani niuelewe...ndani wachezaji wangapi, wanacheza dakika ngapi na kama kuna mapumziko..na mwisho points zinapatikana vipi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom