All-star selection ina-base kwenye individual brilliance, na siyo team's brilliance. Ndiyo maana Davis yumo kama starter ilhali Pelicans hawapo kwenye nafasi ya kuingia hata playoffs. As a player, Russell is far better than Curry and Harden so far in this season. Ndiyo maana players voted for Westbrook as number 1 player in the backcourt.Sasa Mkuuu Nzi, hebu kwa mfano tu, naomba niongelee MVP tu...je, anaweza kutoka kwenye timu ambayo haikufaulu hata kufika kwenye playoffs? Je mchezaji wa timu iliyoshika mkia anaweza kuchaguliwa MVP kwa sababu tu anaongoza kwa ama steals, au rebounds, au points, au assists? Nilifikiri uzuri wa mchezaji unaangaliwa kwa namna anavyoshirikiana na wenzake na kuiwezesha timu yake kushinda!
Isaiah Thomas je kwa Kyrie Irving???? Russell wamemwonea kiukweli hiyo inajulikanaAll-star selection ina-base kwenye individual brilliance, na siyo team's brilliance. Ndiyo maana Davis yumo kama starter ilhali Pelicans hawapo kwenye nafasi ya kuingia hata playoffs. As a player, Russell is far better than Curry and Harden so far in this season. Ndiyo maana players voted for Westbrook as number 1 player in the backcourt.
IT mshindani wake alikuwa DeMar; huyu ndiye fans' votes zilitumika kama tie breaker. Kyrie alikuwa voted number one by fans na players. IT alikuwa voted number 1 by the media.Isaiah Thomas je kwa Kyrie Irving???? Russell wamemwonea kiukweli hiyo inajulikana
Achana na Tie breakers... I mean who's had a better season between the two?IT mshindani wake alikuwa DeMar; huyu ndiye fans' votes zilitumika kama tie breaker. Kyrie alikuwa voted number one by fans na players. IT alikuwa voted number 1 by the media.
Who am I to say something against the players' decision? The players voted Kyrie as number one (meaning they think Kyrie is having a better season than IT). They know more than me, you and the media; they play against these players on daily basis.Achana na Tie breakers... I mean who's had a better season between the two?
It was a great game...it was more of a Cavs loss than a Spurs win. Cavs missed FTs big time; na Spurs had no Gasol and Parker.Naona spurs wamewachapa Cavs good game huyu Lebron anapata raha sana East, East is way too easy.
Usimfananishe Steph Curry na mambo ya Kijinga...Russell is far better than Curry and Harden so far in this season
Bro, it's just a regular season game. Waachieni Spurs washinde game zote, nyie mtamalizana nao ktk playoffsIt was a great game...it was more of a Cavs loss than a Spurs win. Cavs missed FTs big time; na Spurs had no Gasol and Parker.
But, as it has been over the past two seasons, I hope Cavs will win the rematch at Spurs.
[HASHTAG]#gocavs[/HASHTAG]
Usimfananishe Steph Curry na mambo ya Kijinga...
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
Sasa Mkuuu Nzi, hebu kwa mfano tu, naomba niongelee MVP tu...je, anaweza kutoka kwenye timu ambayo haikufaulu hata kufika kwenye playoffs? Je mchezaji wa timu iliyoshika mkia anaweza kuchaguliwa MVP kwa sababu tu anaongoza kwa ama steals, au rebounds, au points, au assists? Nilifikiri uzuri wa mchezaji unaangaliwa kwa namna anavyoshirikiana na wenzake na kuiwezesha timu yake kushinda!
Mambo ya KIJINGA ni kujaribu kumuweka bench Steph kwaajili ya RussellMambo ya kijinga ni yepi mkuu?
Mambo ya KIJINGA ni kujaribu kumuweka bench Steph kwaajili ya Russell
Ni kweli East ni mteremko...Naona spurs wamewachapa Cavs good game huyu Lebron anapata raha sana East, East is way too easy.
Okay. Weak, lakini kwenye all-time stats, East wana NBA championships nyingi kuliko West.Ni kweli East ni mteremko...
Top 10
- Warriors: 38-6 (.864)
- Spurs: 34-9 (.791)
- Rockets: 34-13 (.723)
- Cavaliers: 30-12 (.714)
- Clippers: 29-16 (.644)
- Jazz: 29-16 (.644)
- Raptors: 28-16 (.636)
- Celtics: 26-17 (.605)
- Hawks: 26-18 (.591)
- Thunder: 25-19 (568)
Come on Nzi, do you even know why we have an All-star team to begin with? An All-star game is just what it is...an exhibition for the fans! People flock to it for enjoyment, not to watch an out of control ball-hog whose turnovers can only match his assists much to the discomfort of his teammates! Who cares what team wins an All-star game as long as fans enjoy watching their favorite players do the basketball tricks!All-star selection ina-base kwenye individual brilliance, na siyo team's brilliance. Ndiyo maana Davis yumo kama starter ilhali Pelicans hawapo kwenye nafasi ya kuingia hata playoffs. As a player, Russell is far better than Curry and Harden so far in this season. Ndiyo maana players voted for Westbrook as number 1 player in the backcourt.
Hueleweki mzee...have a stance basiCome on Nzi, do you even know why we have an All-star team to begin with? An All-star game is just what it is...an exhibition for the fans! People flock to it for enjoyment, not to watch an out of control ball-hog whose turnovers can only match his assists much to the discomfort of his teammates! Who cares what team wins an All-star game as long as fans enjoy watching their favorite players do the basketball tricks!