Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,088
- 10,362
Hapana...Durant anamfunika Curry?
Nachoona mimi ni kwamba kila mtu anajaribu kuifanya kazi yake kadiri ya uwezo wake..!
Curry anaifanya kazi yake vizuri...
Durant anaifanya kazi yake vizuri haswaaaaa..!


(utani)