Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,334
- 7,868
Ahahah.... I expected to see this argument from warriors fan.Kumbe timu zinaweza kushinda bila ya star players wao??
Sasa mbona Spurs wanashindwa hata kushinda mechi moja mkuu
"Sasa mbona spurs wanashindwa..."
Mkuu, kwa sababu tu Celtics wameweza mbele ya CAVS sio kwamba hata spurs nao wanaweza kufanya kitu kile kile mbele ya GSW. muda mwingine kutokwepo kwa star kuna mfanya kocha abadilishe game plan tofauti na aliyoizoea na hatimae kupata matokeo. Hata Barcelona zamani walikuwa na formation maalumu kwa ajiri ya Messi tu, sasa siku asipokuwepo ilikuwa ina mlazimu kocha abadilishe strategies ambayo ni either itafanya timu kucheza vizuri zaidi au kuvurunda zaidi. Hivyo hivyo hata kwenye basketball
Na pia kwenye mashindano kama haya surprising results huwa zipo tu... Usishangae hata warriors akakalishwa game mbili mfululizo kwenye hii series inayoendelea.