Nazileta kwenu facebook codes

Drax001

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
454
Reaction score
240
Habari za majukumu wakuu leo nimeamua kuwaletea facebook code ambayo utatumia kupendezesha maneno unayo post au kukoment . twende pamoja :- nenda moja kwa moja katika facebook yako alafu coment au post code moja kati ya hizi

@[1503358053257688:]
@[1697313500541510:]
@[741047596020801:]
@[119399008096091:]
@[116026518593685:]

NB:ingia katika facebook coment sehemu yoyote ya kutolea maoni au post alafu weka code number (1) kati ya hizo juu utaona uchawi wa hizi [HASHTAG]#CODE[/HASHTAG]
 

Nimeweka code # 3, imetokea kama hivi...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…