takiribin mwez wa 3 sasa kuna mtu nampenda kutoka moyoni klila cku anaishia kunitext mara hi, gd9t, thinking of u, n.k na me huwa najtahd kujibu text zake kulingana na alichonitext, japo roho inaniuma 7bu nampenda, ndani ya hicho kipindi amekuja kama mara 3 kunisalimia, japo anaishia kupiga story zakawaida na kuondoka, na me n mtoto wa kike inaniwia ngumu kumapproach.............! some time anaua band mara hi my special one, hapo nashindwa kumusoma anakuwa na maana gan?? pale ninapojitahidi kusahau tex hiyo gd9t, najkta kuamua kuvumilia tena na kuwa na mahope, anahtesa sana nafsi yangu.........!

umenifanya nichekemtongoze 2 haina noma ila ucturudie hapa ku2lilia kakutapeli laptop ........
jf kuna mambo.sema nae au unasubiri utongozewe kwa hisani ya watu wa marekani mwaga sera mapema kabla hawajakuwahi ukazidi kuchanganyikiwa
mtongoze 2 haina noma ila ucturudie hapa ku2lilia kakutapeli laptop ........
nimecheka sana maneno yako hapo juu.Ngoja livunde kama utauona ubani, ngojangoja huumiza matumbo.. Du! kaneno kenyewe kadooogo kana kusumbua miezi yote hiyo! "NAKUPENDA" khaa! ebo, kumbe kana spelling 9 tu, sa unashindwa nini kukataja!! shaurilo..
takiribin mwez wa 3 sasa kuna mtu nampenda kutoka moyoni klila cku anaishia kunitext mara hi, gd9t, thinking of u, n.k na me huwa najtahd kujibu text zake kulingana na alichonitext, japo roho inaniuma 7bu nampenda, ndani ya hicho kipindi amekuja kama mara 3 kunisalimia, japo anaishia kupiga story zakawaida na kuondoka, na me n mtoto wa kike inaniwia ngumu kumapproach.............! some time anaua band mara hi my special one, hapo nashindwa kumusoma anakuwa na maana gan?? pale ninapojitahidi kusahau tex hiyo gd9t, najkta kuamua kuvumilia tena na kuwa na mahope, anahtesa sana nafsi yangu.........!
Sorry, Out of topic! Nimesoma ujumbe wa mtoa mada kwa shida kidogo kwa kuwa anatumia sijuhi niseme symbols au codes hata silelewi. Ni mazoea ya kutuma meseji kwenye simu na kusave dollar au? Angalia msijejisahau mkatuma official letters kwa kutumia same language. Tabia huzaa mazoea. Kunamtu alinitumia text imejaa herufi zilizochanganywa na namba yani sikusoma nikaifutilia mbali. Sasa kwa mfano hapa hamna word limit kwa nini unatumia symbols? Samahani kama nimekuwa mkali lakini nimeona nishare my feelings.