Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

Mwenyewe0000

Member
Oct 30, 2020
51
99
leo Siku ya 7, nimetimiza Week bila Kupiga punyeto.

Asante Mungu kwa kuwa unaendelea kunisaidia na kuniimarisha zaidi. Ninaweza kwa kuwa waniwezesha. Ngoja niweke NENO kwa wingi moyoni mwangu kwa kuwa sitamani kurudi nyuma bali kusonga Mbele.

Nazidi kuona kuwa inawezekana kuacha kupiga punyeto na katika Siku 7 naona kuimarika. Asante Mungu.

Inawezekana, Inawezekana
 
Mkuu Mwenyewe0000

Sijui nakufanisha, au vipi lakini nahisi kuna siku niliona uzi ukielezea biashara ya salon za kike... Kama sijakufanisha, vipi nywele dizaini ya huyu dada hapa chini soko lake lipo vipi kwa Dar?

nywele.png
 
Umefananisha Saloon tena!!!!hapana.

Kikubwa ni kaa ukijua MTU mzima akiamua, akiweka dhamira, pia akimuomba Mungu, tena mwanaume akiwa na msimamo, akaweka moyo na focus inayopelekea Kubadilika huwa harudi nyuma hata ufanye vipi.

Mungu atusaidie kuwasaidia wengine Ila tusiwe wakuwafanya wengine kukwazika

Asante
Siku ya 7 na ni kusonga Mbele
 
Sasa jomba hayo mara Mungu asaidie, mara kukwazika, mara siku ya saba leo na ni kusonga mbele... sasa yanatoka wapi tena!!! Mie nimekuuliza kama una uelewa na biashara ya nywele/wigi alilovaa huyo dada!!

Kumbe nimekufananisha!!!
 
mbona kama umempa picha ili akaitendee haki (kuipunyetia)
HEEEE!!!!!

Kumbe ndo maana jamaa katoa povu!! Mie nilimfananisha na jamaa aliyekuwa anaelezea biashara ya salon za kike!!

Yaani apige nyeto kisa kaona hiyo picha?! Basi kazi anayo....
 
Sasa jomba hayo mara Mungu asaidie, mara kukwazika, mara siku ya saba leo na ni kusonga mbele... sasa yanatoka wapi tena!!! Mie nimekuuliza kama una uelewa na biashara ya nywele/wigi alilovaa huyo dada!!

Kumbe nimekufananisha!!!

Niliona intention yako nikaona umefanya kusudi Ila nikajua utakuwa ulikosea, nikakusamehe.
 
Niliona intention yako nikaona umefanya kusudi Ila nikajua utakuwa ulikosea, nikakusamehe.
Unisamehe kwa kosa gani nililofanya ndugu?! Mbona unafanya mambo kwa masimango?! Yaani kama ndivyo, basi am afraid utakuwa umechukua likizo tu manake mtu aliye serious with determination wala hawezi kutishika na picha, na wala hana sababu ya kutoa updates ya anachokusudia!!!
 
Yaani siku saba tu umeanzisha na uzi kabisa... Yaani mimi nilikaa miezi mitatu na bado nikaja kuipiga tena ila kwasasa nimeacha kitambo. Pamoja na yote wewe bado ni mwana chama wa punyeto acha muda utaongea.
 
Nyeto haiachiki dadeq,
 
Punyeto Punyeto Punyeto Punyeto Punyeto five rimes whats wrong with dis issue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom