kwani umetafsiri nini mkuu usitafutie balaa bure la kupigwa ban kwani si nimetangaza kazi yangu kwani hakuna mtaani kwenu vyoo vilivyoziba na kujaa ili vitapishwe
Habari wadau
Napenda kuwataarifu kuwa mimi ni mzibua vyoo mashuhuri na mahiri katika kazi hiyo kwa wanaume na wanawake kama una matatizo ya kuziba choo chako ninao uzoefu na ujuzi na nazibua bila malipo yaani bila maumivu bureee
Natumaini ukipata nafasi ya kufanyiwa kazi yako nami siku zote utanipenda nikuzibulie
Wahi mapema ili umaliziwe haraka
Ushirikiano ndiyo msingi wa hii shughuli
Samahani lakini, hivi wewe si ni yule jamaa anayepandikizaga camera vyooni na kutengeneza "Bongo Movie" zako? Wewe bwana unatafutwa sana na mapolisi, samahani kwa kukushitua lakini lazima ukamatwe tu, unahaibisha sana jamii na kuvunja ndoa za watu.